Aina ya Bidhaa: Grinding Ball Mill (Wet / Dry Grinding)
Matumizi: Usagaji wa mawe ya dhahabu, mchanga wa madini, saruji, na miamba migodini ili kupata unga laini.
Maelezo ya Bidhaa: Mashine ya Industrial Ball Mill ni kifaa muhimu sana katika michakato ya usagaji wa madini (ore grinding processes), hasa dhahabu na shaba. Inafanya kazi ya kusaga mawe yaliyovunjwa kutoka kwenye jaw crusher kuwa unga laini sana kwa kutumia maboli ya chuma (steel balls) yaliyo ndani ya mtungi wake unaozunguka.
| Aina ya Model | 900x1800 / 1200x2400 / 1500x3000 / 1830x3000 |
|---|---|
| Uwezo wa Uzalishaji (Capacity) | 0.65 - 30 Tani kwa Saa (Tons/Hour) |
| Ukubwa wa Mawe Kuingia (Feed Size) | ≤ 20 mm - 25 mm |
| Ukubwa wa Unga Unaotoka (Discharge Size) | 0.074 mm - 0.4 mm (200 mesh) |
| Nguvu ya Motor (Motor Power) | 18.5 kW - 130 kW |
| Uzito wa Maboli ya Chuma (Ball Load) | 1.5 Tani - 11 Tani |
| Kasi ya Mzunguko (Rotation Speed) | 30 - 38 RPM |
★★★★★ Mgodi wa Mwusu - Geita
Ball mill hii ya 1200x2400 inafanya kazi nzuri sana kwenye plant yetu ya uchenjuaji. Unga unatoka laini kabisa na uzalishaji umeongezeka.
★★★★★ Bakari S. - Chunya, Mbeya
Ubora wa gia zake na bearing ni wa hali ya juu. Haileti kelele nyingi na matumizi ya umeme yako sawa.