Kuhusu Sisi - DXM SHOP

Kuhusu DXM SHOP

Mshirika wako wa kuaminika katika ulinzi, ubora, na huduma bora za mitambo na vifaa vya viwandani.

DXM Shop Mitambo

Suluhisho la Kisasa la Viwanda

DXM SHOP ni kampuni inayojikita katika usambazaji wa mashine na vifaa vya kisasa, imara na vyenye ubora kwa matumizi mbalimbali ya biashara, viwanda, ujenzi, uzalishaji na shughuli nyingine za kitaalamu.

Tunalenga kuwapatia wateja wetu mashine zenye ubora na teknolojia ya kisasa kwa bei nafuu na zinazolingana kikamilifu na mahitaji ya miradi yao.

0
Mitambo Iliyosambazwa
0
Wateja Walioridhika
0
Miradi ya CIP & CIL
0
% Ubora Uliothibitishwa

Huduma Zetu Kuu

1. Usambazaji wa Vifaa

Tunasambaza mashine kubwa na ndogo za kisasa pamoja na vifaa mbalimbali vya mitambo vinavyokidhi viwango vya kimataifa.

2. Uagizaji Maalum

Unahitaji kifaa kisichopo sokoni? DXM SHOP inakusaidia kuagiza kulingana na vipimo (specifications) unazohitaji.

3. CIP & CIL Engineering

Tunanikunja mikono kwenye ushauri wa kitaalamu, upangaji wa mifumo, na ufungaji wa mitambo ya usindikaji wa madini.