Aina ya Bidhaa: Industrial Speed Reducer Gearbox
Matumizi: Usagaji wa mawe migodini, kamba za conveyors, crushers, na mashine nzito za viwandani.
Maelezo ya Bidhaa: Gearbox nzito ya viwandani ya ZQ / JZQ Series imeundwa maalum kwa ajili ya kupunguza kasi (speed reduction) na kuongeza nguvu ya mzunguko (torque) kwenye mashine nzito. Inafaa sana kutumika kwenye Ball Mills, Jaw Crushers, Converyor Belts za migodini, na viwanda vya saruji au matofali.
| Aina (Model Series) | ZQ / JZQ (250, 350, 400, 500, 650) |
|---|---|
| Ratio ya Gia (Gear Ratio) | 8.23 - 48.57 |
| Kasi ya Kuingia (Input Speed) | ≤ 1500 RPM |
| Aina ya Mfumo (Mounting Type) | Horizontal Foot Mounted |
| Nyenzo ya Gia (Gear Material) | 20CrMnTi / 40Cr Alloy Steel |
| Ufanisi (Efficiency) | ≥ 94% |
| Mfumo wa Mafuta (Lubrication) | Oil Bath / Splash Lubrication |
★★★★★ Rashid K. - Kahama
Gearbox hii imemsaidia sana kwenye ball mill yetu ya migodini. Haipashwi moto na ina nguvu kubwa.
★★★★★ Mbeya Cement Block Factory
Ubora mzuri sana na chuma chake ni kizito na imara. Tumeridhika na huduma.