Huduma Ze - DXM SHOP

HUDUMA ZETU NYINGINE

Tunatoa huduma za kitaalamu NA usambazaji, uagizaji, na ufungaji wa mitambo ya viwandani na migodini.

Usambazaji wa Mashine na Vifaa
HUDUMA YA KWANZA

Usambazaji wa Mashine na Vifaa

Tunasambaza mashine kubwa na ndogo za kisasa pamoja na vifaa mbalimbali vya mitambo vinavyokidhi mahitaji ya matumizi tofauti.

Omba Nukuu ya Bei
Uagizaji wa Mashine Maalum
HUDUMA YA PILI

Uagizaji wa Mashine Maalum

Unahitaji mashine au kifaa ambacho hakipo kwenye bidhaa zetu za kawaida? DXM SHOP inakusaidia kuagiza kulingana na mahitaji yako (specifications) na matumizi yaliyokusudiwa.

Omba Kuagiziwa
CIP & CIL Engineering
HUDUMA YA TATU

CIP & CIL Engineering

Tunatoa huduma za CIP (Carbon in Pulp) na CIL (Carbon in Leach) Engineering ikiwemo ushauri wa kitaalamu, upangaji wa mfumo, na ufungaji wa mitambo kulingana na mahitaji ya mradi.

Piga Simu kwa maelezo zaidi

Unahitaji Msaada Zaidi wa Kitaalamu?

Wasiliana na wataalamu wetu leo kwa maswali au maelezo zaidi kuhusu mitambo na huduma zetu.

Chat Nasi WhatsApp (+255 742 924 324)